• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini Uchumi wa Sudan umeshuka chini na viongozi wanalilia mabadiliko

    (GMT+08:00) 2020-09-02 19:19:21
    Viongozi wa Sudan Kusini wamekuwa wakikimbilia kuimarisha uchumi wa nchi hiyo wakati wakupotea kwa mapato ya fedha za kigeni baada ya bei za ulimwengu na janga la Corona zilichangia katika kuumiza mauzo ya mafuta.

    Wataalam wa uchumi wa nchi wanashauri sera kali za fedha juu ya viwango vya ubadilishaji, Rais Salva Kiir na maafisa wake wakuu wamefanya maamuzi kadhaa, wiki chache tu baada ya kukiri mapato ya nchi hiyo ya mauzo ya nje ya meisha.

    Katika agizo, Rais ameunda kamati iliyoongozwa na makamu wa rais wa nguzo ya uchumi, James Wani Igga, kukuja na njia za kuboresha uchumi.

    Kikundi hicho kina mawaziri wa fedha na mipango ya uchumi, biashara na viwanda, mafuta ya petroli, na madini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako