• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda-Wafanyabiashara wadogo wataka serikali kuunguza ushuru unaotozwa simu za mkononi na vipakatalishi

  (GMT+08:00) 2020-09-03 19:39:06

  Wafanya biashara wadogo kutoka Jinja,nchini Uganda wametoa wito kwa serikali ya nchi hiyo kupunguza ushuru unaotozwa simu za mkononi na vipakatalishi ili kuwawezesha kununua bidhaa hizo na kutumia teknolojia mpya duniani.

  Wito huo ulitolewa na wenye biashara ndogo na za kati wakati wa ufungaji wa mkutano wa wiki mbili uliofanyika kwa njia ya video katika Chuo cha Mafunzo cha Jinja.

  Anthony Erima,fundi wa umeme katika kituo cha biashara cha Mafubira ,ambaye alishiriki mkutano huo,anasema serikali imeweza kuelewa kuwa wafanyabiashara wengine bado hawajapata mafunzo ya kompyuta .

  Erima anasema kuna haja ya yeye kubadilika kutoka analogia kwenda dijital,na pia kna umuhimu wa kuwa kipakatalishi.

  Alisema hivyo vitamsaidia kuuza bidhaa zake katika majukwaa maimbali ya kidigitali kama vile Facebook,WhatsApp miongoni mwa nyengine.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako