• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Brazil kuwalipa posho sawa wachezaji wanaume na wanawake wa timu ya taifa

    (GMT+08:00) 2020-09-04 18:35:00

    Rais wa shirikisho la soka Brazil CBF Rogerio Caboclo ametangaza kuwa wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Brazil watalipwa posho sawa na wachezaji wa timu ya wanaume. CBF inakuwa miongoni mwa mashirikisho machache Duniani yanayolipa posho sawa kwa timu za taifa za wanawake na wanaume, mataifa mengine yanayofanya hivyo ni Astrallia, Norway na New Zealand. Malipo haya yataanza katika michuano ya Olimpiki itakayofanyika mwakani na katika fainali za kombe la Dunia Rogerio Caboclo. Amesema itakuwa sawa kwa wote kama mapendekezo ya FIFA yanavyotaka kwenye soka ya wanawake, hivyo hakutakuwa na utofauti wa jinsia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako