• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya mataifa ya Ulaya yaendelea Uingereza, Ufaransa zaanza vizuri

    (GMT+08:00) 2020-09-07 16:53:33

    Barani Ulaya kuna ligi inavyoendelea, ligi inayoitwa Nations league ambayo timu mbalimbali za taifa zilijitupa uwanjani wikiendi kutafuta nafasi ya kuongoza kwenye makundi yao. UINGERZA ilipata ushindi mwembamba ugenini dhidi ya ICELAND, ushindi ambao kwa kiasi fulani unaweza kuonekana kama ni wa bahati kwani hadi dakika 90 za kawaida, timu hizo zilikuwa bado hazijafungana. Raheem Sterling alifunga goli katika dakika za majeruhi na kuipatia ushindi huo. … WEJERUMANI nao wakiwa ugenini walibanwa mbavu bila kutarajia na timu ya USWISI, na kutoka suluhu ya goli moja kwa moja. Wafaransa pia walibahatika kupata ushindi mwembamba wa goli moja kwa bila, goli lililofungwa na mchezaji Kylian Mbappe. Leo kuna mechi 8 zinaendelea lakini ya kukata na shoka itakuwa ni mechi kati ya UHOLANZI dhidi ya ITALIA.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako