• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gor Mahia yaendelea kukubwa na tatizo la kupoteza wachezaji

    (GMT+08:00) 2020-09-07 16:54:13

    Klabu ya Gor Mahia ya Kenya imeendelea na tatizo la kupoteza wachezaji wake, wanaohamia katika klabu nyingine. Hali hii imewafanya baadhi ya wapenzi wa klabu hiyo kukata tamaa kama tiumu yao itarudi katika hali ya umwamba wa soka nchini Kenya kama iliyokuwa kwenye miaka ya 70 na 80. Ikiwa ni katika hali ambayo imeonekana kama ni kuwatia moyo mashabiki, oifsa mmoja wa klabu amesema endapo wa kina mama wa eneo la Luo wataendelea kuzaa wavulana, basi timu hiyo itaendelea kuwepo na itasonga mbele. Lakini amesisitiza umuhimu wa kuheshimu kanuni za klabu bila kujali mchezaji ni nani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako