• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baada ya kuanza kwa ushindi Simba sasa yaelekea Morogoro, kocha asema kuna dosari

    (GMT+08:00) 2020-09-09 17:28:38

    Kocha wa Simba Sven Vandenbroek, alisema tayari ameshaanza kuyafanyia kazi mapungufu aliyoyaona katika mchezo wa kwanza dhidi ya Ihefu FC, ili kutorudia makosa licha ya kuwa timu yake iliparta ushindi. Sven alisema anatarajia mechi hiyo itakuwa na ushindani kutokana na wachezaji wa timu zote mbili kufahamiana vema na kila upande ukihitaji kuvuna pointi tatu muhimu. Amesema kwenye wa kwanza walipata ushindi, lakini kama kocha ameona dosari kidogo ambazo anazifanyia kazi kabla ya mchezo ujao. Kocha huyo alieleza kuona mapungufu kwenye kikosi chake katika safu ya ulinzi, na anaamini kuelekea mechi ya raundi ya pili yatakuwa yameondoka kabla ya kuingia uwanjani kuwakabili wapinzani wao. Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu, alisema wachezaji wa timu hiyo wapo katika hali nzuri na baada ya kuwapa mapumziko ya siku moja, kikosi hicho cha mabingwa watetezi kitaanza rasmi programu ya mazoezi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako