• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vijana wa England waliotimuliwa kwenye kikosi cha timu ya taifa walimlipa mhudumu wa hoteli kuwasaidia kuwaingiza wasichana

    (GMT+08:00) 2020-09-09 17:45:31

    Vijana wa timu ya taifa ya Englanda waliofukuzwa na kurudi nyumbani kwa kosa la kukiuka karantini ya timu, wanatajwa kuwa walimlipa mhudumu wa hoteli aliyewaletea wasichana vyumbani kwao kinyume na kanuni za kupambana na virusi vya Corona. Vijana hao licha ya kuwa wameomba radhi, imeanza kujulikana kuwa mmoja wao tayari ana msichana na mtoto nyumbani Manchester, na vyombo vya habari vimeanza kutangaza picha zao na kuwatia matatani. Imefahamika kuwa kina dada hao ni wana ndugu na mmoja ni mwanamitondo maarafu Nadia Sif Lindal aliyekuwa na ndugu yake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako