• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kutokuwepo kwa mashabiki uwanjani kwatatiza wacheza soka Brazil

    (GMT+08:00) 2020-09-09 17:46:02

    Klabu za soka nchini Brazil zimeanza kugeukia Ma- DJ ili kuleta uchangamfu na kuondoa ukimywa kwenye viwanja visivyo na watazamaji katika enzi hii ya corona. klabu ya Rio de Janeiro Fluminense, ambayo hucheza michezo yake kwenye uwanja wa Maracana, imekuwa na upweke mkubwa baada ya watazamaji wake kukosekana uwanjani. Baadhi ya mashabiki wa soko. Kwa sasa klabu hiyo imajiri DJ ambaye kazi yake ni kuandaa sauti za mashabiki maarufu wa Fluminense zilizorekodiwa na kuzicheza kwenye michezo ya nyumbani ya timu hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako