• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WHO: Chini ya asilimia 10 ya watu walioambukizwa COVID-19 na asilimia 0.2 ya vifo ni vijana wenye umri chini ya miaka 20

    (GMT+08:00) 2020-09-16 08:59:42

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani Bw. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema chini ya asilimia 10 ya watu waliothibitishwa kuambukiziwa virusi vya Corona na asilimia 0.2 ya vifo vinavyotokana na virusi hivyo kote duniani ni vijana wenye umri chini ya miaka 20, lakini utafiti zaidi unahitajika kuhusu hatari ya ugonjwa huo na kifo miongoni mwa watoto na vijana. Bw. Tedros pia amesema athari za kiafya za muda mrefu kwa watoto na vijana walioambukizwa virusi vya Corona bado hazijulikani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako