• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Sudan kufanya mazungumzo na viongozi wa UAE

    (GMT+08:00) 2020-09-21 09:26:51

    Mwenyekiti wa Baraza la Utawala nchini Sudan Abdel Fattah al-Burhan ataelekea Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ziara ya siku mbili juu ya masuala yanayohusiana na Sudan. Wakati huo huo, ujumbe wake wa ngazi ya juu utafanya majadiliano na ujumbe kutoka serikali ya Marekani ambayo tayari iko UAE kuhusu kuiondoa Sudan kwenye orodha ya Marekani ya nchi zinazoungaji mkono makundi ya ugaidi, ili kuunga mkono kipindi cha mpito cha Sudan, na kupunguza deni la Sudan kwa Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako