• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa Afya wa Umoja wa Falme za Kiarabu apata chanjo ya China dhidi ya virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-09-21 10:31:08

    Waziri wa Afya na kukinga maradhi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Bw. Abdul Rahman Mohammed Al Oweis amepata chanjo ya virusi vya Corona iliyotengenezwa na China.

    Mwishoni mwa wiki iliyopita, kutokana na thibitisho la usalama la majaribio, Umoja wa Falme za Kiarabu umeidhinisha kwa dharura madaktari walio mstari wa mbele kutumia chanjo ya China dhidi ya virusi vya Corona.

    Bw. Oweis amesema, kipindi cha kwanza na cha pili cha majaribio ya chanjo hiyo yameonesha usalama wa chanjo. Hivi sasa, watu wengi wanaojitolea wameshiriki kwenye majaribio ya kipindi cha tatu ambayo yanaendelea vizuri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako