• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wachina wanavyosherehekea Siku ya mama duniani
  •  2016-05-11

    Wasikilizaji wapendwa, jumapili iliyopita ilikuwa ni siku ya mama. Ingawa sikukuu hiyo inatoka magharibi, katika miaka ya hivi karibuni, wachina wengi wameitumia fursa ya siku hiyo kumshukuru mama kwa upendo wake. Lakini kutokana na mchakato wa utandawazi wa miji kukua kwa kasi nchini China, upendo huo umekuwa si rahisi.
  • Shule aliyosoma William Shakespeare yaadhimisha miaka 400 tangu kifo chake
  •  2016-05-04

    Tarehe 23 mwezi Aprili mwaka huu ilikuwa ni maadhimisho ya miaka 400 tangu kifo cha mtunzi mashuhuri wa opera wa Uingereza William Shakespeare. Katika kipindi cha leo, tutatembelea kwa pamoja maskani yake na shule alizosoma katika mji wa Stratford ili kufahamu historia ya maisha yake alipokuwa kijana.
  • Wachina wamekuwa na tabia nzuri ya kusoma vitabu
  •  2016-04-27

    Takwimu zilizotolewa wiki iliyopita na kampuni ya Amazon kuhusu tabia ya usomaji vitabu nchini China zinaonesha kuwa, asilimia kubwa ya wachina wamekuwa na tabia nzuri ya kusoma vitabu, zaidi ya asilimia 80 ya waliohojiwa wanasoma vitabu kwa wastani wa nusu saa kila siku, na Kutokana na maendeleo ya teknolojia ya dijitali, asilimia 84 ya wahojiwa walisema pia wanasoma vitabu ya kidijitali.
  • China yaongeza nguvu katika uhifadhi wa mabaki ya kale
  •  2016-04-20

    Mkutano wa kazi ya kuhifadhi vitu vya kale nchini China ulifanyika Jumanne wiki iliyopita hapa Beijing, ambapo rais Xi Jinping wa China alitoa maagizo ya kuongeza nguvu kwenye uhifadhi wa vitu vya kale, kuhimiza matumizi ya vitu hivyo kwa njia mwafaka, na kujitahidi kutafuta njia ya uhifadhi na matumizi ya vitu vya kale inayolingana na hali halisi ya China.
  • Busara za Confucious zatumika kuwasaidia watumiaji wa dawa za kulevya waondokane na tabia hiyo
  •  2016-04-14

    Hivi karibuni mkoa wa Shandong ulioko mashariki mwa China, ulianzisha taasisi ya Confucious kwenye kituo cha kuwasaidia watumiaji wa dawa za kulevya kuondokana na tabia hiyo cha Jidong huko Jinan, mji mkuu wa mkoa huo, hatua ambayo ilizusha mjadala mkubwa kwenye jamii kuhusu jinsi falsafa ya kale ya kichina inavyoweza kusaidia kutatua tatizo la sasa la matumizi ya dawa za kulevya.
  • Shughuli za kutangaza tiba ya jadi ya kichina zafanyika mjini Prague, Czech
  •  2016-04-06

    Kwenye ziara ya rais Xi Jinping wa China nchini Jamhuri ya Czech wiki iliyopita, miji ya Beijing na Prague ilisaini makubaliano ya kuwa miji rafiki. Pamoja na kusainiwa kwa makubaliano hayo, shughuli za kutangaza tiba ya jadi ya kichina zilifanyika kuanzia Jumapili hadi Jumanne wiki iliyopita mjini Prague.
  • Onyesho la utamaduni wa kichina lafanyika kwenye shule ya kimataifa nchini Kenya
  •  2016-03-30

    Jumanne wiki iliyopita, onyesho la utamaduni lililoandaliwa na darasa la Confucious mjini Nairobi lilifanyika kwenye shule ya kimataifa ya Braeburn, na kuhudhuriwa na walimu, wanafunzi na wazazi zaidi ya mia moja.
  • Bi. Du Mei, mjumbe wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la China anayejitahidi kuhifadhi tamaduni za makabila madogomadogo
  •  2016-03-23

    Bi. Du Mei anaona, kushikilia yanayohitajika na umma, na kueneza yanayopendelewa na wananchi ni mbinu mwafaka ya kustawisha sekta ya utamaduni nchini China.
  • China yapaswa kutoa kipaumbele katika kuhifadhi tamaduni za makabila madogomadogo
  •  2016-03-16

    China ni nchi yenye makabila 56, na kila kabila lina utamaduni na mila zake maalum. Lakini kutokana na maendeleo ya uchumi na mchakato wa uendelezaji wa miji, tamaduni na mila za baadhi ya makabila madogo madogo zinakaribia kutoweka. Kwenye mkutano wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la China uliomalizika jumatatu wiki hii, wajumbe wengi waliona kuwa tamaduni zilizostawi za makabila madogomadogo hazipaswi kutoweka kutokana na maendeleo ya kiuchumi na kijamii, na ni lazima hatua madhubuti zichukuliwe ili kurithi na kuenzi tamaduni hizo maalum.
  • Opera ya kijadi ya mkoa wa Guangdong, ulioko pwani ya kusini ya China
  •  2016-03-08

    Opera ya kiguangdong iliyoanzishwa huko Foshan, ni opera ya kienyeji yenye mashabiki wengi zaidi mkoani Guangdong, mpaka sasa imekuwa na historia ya zaidi ya miaka mia tatu. Opera hiyo inayoimbwa kwa lahaja ya kikanton, ni opera ya kwanza ya China iliyooneshwa katika nchi za nje. Mwaka 1852, bendi ya opera ya Hongfutang kutoka Guangdong ilionyesha opera hiyo mjini San francisco, Marekani, ikilinganishwa na opera ya kibeijing iliyooneshwa mara kwa kwanza nje ya China mwaka 1930.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako