• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Mazingira ya mkutano wa G20 2016-09-05

  Pamoja na hayo yaliyojiri katika mkutano wa wakuu wa G20 uliofunguliwa Jumapili (Septemba 4) wanahabari wa kimatifa walipata wasaa wa kutembelea sehemu mbali mbali za jiji la Hangzhou ili kujionea mandari nzuri na utunzaji wa mazingira hususani katika mradi wa Jiangyangfan Eco-park.

  • Rais wa China ataka maslahi ya mataifa madogo yazingatiwe 2016-09-05
  tano wa wakuu wa G20 ulifunguliwa jumapili mjini Hangzhou, mashariki mwa China, ambapo viongozi wa nchi hizo ambazo jumla ya uchumi wao zinachukua zaidi ya asilimia 80 ya ile ya dunia nzima wanakaa kwenye meza moja kujadili ongezeko endelevu, shirikishi na lenye uwiano la uchumi wa dunia.
  • VIONGOZI MAHIRI WAMININIKA HANGHZHOU 2016-09-05

  Siku ya Jumamosi tarehe 03 Septemba jiji la Hanghzhou liligeuka na kuwa kitovu cha Dunia baada ya kupokea idadi kubwa ya viongozi wanaounda ushirika wa kiuchumi wa G20.

  • UNAPOFIKA 'JIJI LA MAJI' HANGZHOU JIANDAE KWA UTALII WA ZIWANI… 2016-09-05

  Nilipofika Hangzhou nilijiona kama kwamba nipo nyumbani katika Jiji la Mwanza, ilikuwa ni kutalii kwenye Ziwa la Magharibi (West Lake) ambalo liliwekwa kwenye orodha ya hifadhi za utalii wa UNESCO mwaka 1987.

  • Mji wa Hangzhou wajiandaa kwa ajili ya mkutano ujao wa G20 2016-05-26
  Mji wa Hangzhou ulioko mashariki mwa China unajiandaa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa G20 utakaofanyika baadaye mwaka huu.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako