• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Li Zhaoxing akutana na waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Salim Ahmed Salim na rais wa zamani wa nchi hiyo Benjamin Mkapa
    Mkurugenzi wa Shirikisho la diplomasia ya umma la China Bw. Li Zhaoxing ambaye yuko ziarani nchini Tanzania kuhudhuria mkutano wa Baraza la diplomasia ya umma kati ya China na Afrika, jana alikutana na aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Bw. Salim Ahmed Salim na rais wa zamani wa nchi hiyo Bw. Benjamin Mkapa.
    Tamasha la Vijana wa China na Afrika kwa Mwaka 2016 laendelea mjini Guangzhou
    Tamasha la Vijana wa China na Afrika kwa Mwaka 2016 linaendelea kufanyika mjini Guangzhou, ambapo vijana 188 kutoka nchi 18 za Afrika na wenzao 200 kutoka China wamekusanyika kwa pamoja ili kuongeza maelewano kati yao.
    Uwekezaji unakuwa injini mpya ya kukuza ushirikiano kati ya China na Afrika
    Waziri wa mambo ya nje ya China Wang Yi amesema China na Afrika zinatafuta mtindo mpya wa ushirikiano wa kunufaishana kati yao, na uwekezaji unakuwa injini mpya ya kuhimiza ushirikiano huo.
    Kampuni za China zinahamisha teknolojia Afrika
    Kampuni ya Huawei ya China, imeanzisha miradi mbalimbali kwa lengo la kuhamishia ujuzi kwa Waafrika na kutimiza wajibu kwa jamii za Afrika. Mipango ya kuhamisha ujuzi na uzinduzi wa miradi mbalimbali ya wajibu huo, ambayo imeanzishwa kwa kushirikiana na serikali za nchi za Afrika, sio tu itaboresha hali ya maisha ya wakazi, bali pia itaongeza mahusiano kati ya China na bara la Afrika.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako