• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Shirika la Ndege la China Southern lawapatia wananchi wa Kenya nafasi za ajira 2018-07-16
  Katika mwezi Agosti mwaka 2015, Shirika la Ndege la China Southern lilianzisha rasmi safari ya ndege kutoka Guangzhou hadi Nairobi, ambayo ni safari ya kwanza ya moja kwa moja kwenda Kenya. Shirika hilo pia limetekeleza wajibu wa kijamii na kutoa nafasi za ajira kwa wenyeji wa Kenya, ambao wamepata mengi ya kujifunza na kunufaika na kazi hiyo. Judith Nashipai Kamai ni mmoja wao, yeye anatoka katika familia ya ufugaji ya kabila la Wamasai, ambayo inaishi katika mji mdogo wa Kilgoris kaunti ya Narok nchini Kenya. Anapenda sana kazi yake na kutaka kutoa mchango wake katika kuhimiza urafiki kati ya China na Afrika.
  • Reli ya Nairobi-Malaba inayojengwa na kampuni ya China CCCC yawanufaisha wananchi wa Kenya 2018-07-16

  Kampuni ya Ujenzi wa Miundombinu ya Usafiri ya China (CCCC) ni kampuni inayojenga bandari, barabara, madaraja na aina nyingine nyingi za miundombinu, ambayo inajulikana zaidi duniani kwenye sekta ya ujenzi. Mradi wa Reli ya Nairobi-Malaba ni sehemu moja muhimu ya kampuni hiyo unaojengwa nchini Kenya hivi sasa, ambao utawanufaisha wafanyakazi na wananchi wengi wa Kenya.

  • Barabara ya Masai Mara inayotengenezwa upya na kampuni ya "China Wuyi" yawanufaisha wenyeji wa Kenya 2018-07-16

  Katika mwaka 2016, kampuni ya "China Wuyi" nchini Kenya ilianzisha mradi wa kutengeneza upya barabara kutoka Narok hadi Sekenani Gate, ambayo barabara hiyo ina umbali wa kilomita 82, na mradi huo utamalizika mwakani. Barabara hiyo mpya itawanufaisha wenyeji pamoja na watalii duniani.

  • Wananchi wa Kenya wafurahia Reli ya SGR 2018-07-16
  Mwaka mmoja umeshapita tangu Reli ya SGR ilipozinduliwa rasmi. Katika mwaka huu mmoja, reli hiyo imechukua abiria milioni 1.4, ambayo inawanufaisha wananchi wengi wa Kenya.
  • Uchumi wa China wahimizwa na matumizi ya Mtandao wa Internet 2016-11-18

  Kwa sasa sikukuu nyingi nchini China zinachukuliwa na wafanyabiashara kama fursa ya biashara, hasa wafanyabiashara wenye maduka kwenye mtandao wa Internet maarufu kama Online shopping.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako