• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bob Wekesa anatupa mtazamo wake kuhusu Chama cha Kikomunisti cha China

    (GMT+08:00) 2012-11-08 15:33:18
     

    Bob Wekesa, Mhariri kutoka Kenya, na sasa ni mwanafunzi wa udaktari katika chuo kikuu cha mawasiliano cha China.

    Wakati mkutano wa CPC unapoendelea, Bob akiwa msomi kutoka Afrika aishio hapa China anatupa mtazamo wake kuhusu chama hiki, taifa la China na uhusiano kati ya China na Afrika, ambao unasaidia kufahamu siasa ya China na watu wa China.

    Swali: Kwa miaka 10 iliyopita China ilipata maendeleo makubwa hasa katika uchumi wake na kuipita Japani kuwa pili wa duniani kwa ukubwa wa uchumi. Wakati huo jamii yake imeonekana kuwa utulivu. Je unaichukuliaje kazi ya viongozi wa Chama cha Kikomunisti cha China.

    Jibu: Maana yake ni nchi kubwa ni kubwa sawa kabisa wajua nchi yote ambayo kuna watu takriba bilioni 1.3. Wajue Afrika nzima ina watu karibu bilioni 1 tu lazima tupe hongera kwa chama cha kikomunisti cha China kwa vile kuweza kushirikia nchi pamoja ya nchi kubwa hivyo lakini pia kuwezesha uchumi kunoga ni jambo ambalo linahitaji mwenendo mzingi mzuri na kuwa na uogozi na mwelekeo mwema. Na vile umetaja ukaguzi wa pale katika miaka 10 iliyopita jamaa hiki kimewezesha uchina kwenda juu kiuchumi hadi sasa imekuwa ni nchi ya pili katika mambo ya uchumi ulimwengu mzima. Na siyo hayo tu unajua kuna mengi sana ambayo China sasa ni namba moja duniani yote hayo imetendeka katika miaka 10 iliyopita. China sasa ni moja katika nchi ambaye inaitwa "wise top exporter" ambao anasafirisha bidhaa nje. Ni nchi ambayo ni ya pili duniani kuingiza vitu kutoka nje "Import" ukienda katika mambo ya "innovation" namba moja uliwenguni. Katika Afrika uchumi wa China ni namba moja ukilinganisha na mataifa mengine yote. Kwa hivyo yote haya imeonyesha katika miaka 10 iliyopita chama ambacho kinaongoza nchi hii kimeweza kupata maendeleo ya hali ya juu sana. Na lilo linasema pia katika miaka 10 iliyopita kumekuwa ndiyo na imechangamoto kalowakala lakini chama kimeweza kutatua maswali mengi na kupeleka nchi mbele. Ni mfano wa kuigwa kabisa bwana, wajua si nchi za kiafrika nyingi sisi tuna vile vyama vingi vya kisiasa na hivi vyama vingi vya kisiasa wakati wengine wajua vyama vingi vinatuletea nini? Matatizo kidogo kwa sababu ya tofauti za kisiasa. Hapa China wajua pia kuna vyama vingi lakini vyama vya upinzani vya hapa China unajua wengi wajui hayo vyama vya upinzani vinafanya kazi pamoja na Chama cha Kikomunisti cha China. Laikni katika nchi zetu nyingi ukikuwa katika chama kingine una kazi yako ni ukiamuka asubuhi uliangalia lizuri lolote ambalo linafanywa na wenzio na kile chama kingine. Wewe unakosoa tu hakuna wakati ambavyo utasema atakama tukoko katika vyama tofauti hapo nimpe pogezi amefanya kazi nzuri kwa hivyo ni mfano kuweko. Lakin pia ni mambo mengi kuiga kutoka katika chama hiki. Wajua chama hiki klianzishwa mwaka 1921, kwa hivyo sasa ambavyo tunaenda miaka kadhaa ijayo utakuwa na kama miaka mia moja hivi. Kwa hivyo unajua vyama vyetu vingi vya kiafrika wapata chama kinaanzishwa leo baada ya ya miaka mitano kimezambaratika. Na si Kenya tu ukiangalia kule Uganda Nigeria wapi, vyama vingi from Africa national countries ambacho zikifika miaka mia moja kingine chama cha mapinduzi cha Tanzania kimekuwa kwa muda kitu cha kuiga hapa ni kwamba yafaa wanasiasa wetu waangalia kile chama hiki kimekuwa na nguvu wa miaka hii yote hasa kuanzisha mkutano kwa kuanzishwa kwa taifa mwaka 1949. Pia kitu cha kuigwa kwamba chama cha kikomunisti cha China kina watu wengi waelewe kwamba chama hiki kina msingi mwema kabisa ukiangalia kwa vile wale viongozi wanaochaguliwa wanachaguliwa kutoka mashindani katika sasa vile wamekuja katika mkutano wa 18 watapata kwamba wajumbe wametoka mashindani kutoka kwa vile kwa province.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako