• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tovuti za CRI Online zatoa fursa ya kumuuliza maswali waziri mkuu wa China

    (GMT+08:00) 2014-02-28 16:39:30

    Mwezi Machi mwaka huu waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang atawasilisha ripoti ya kazi serikali mpya kwa bunge la umma la China, na baadaye kufanya mkutano na waandishi wa habari kujibu maswali wa wanahabari kutoka ndani na nje ya nchi. Mambo yanayofuatiliwa, ni je uchumi wa China utaweza kuendelezwa tena kwa kasi? Je China itachukua hatua gani kukabiliana na masuala kuhusu maisha ya watu ikiwemo, hifadhi ya mazingira, usalama wa chakula, uhakikishaji wa huduma za jamii, uwiano wa elimu? Na China ikiwa mmoja kati ya wanachama wa jumuiya ya kimataifa, itatoa mchango gani katika mambo ya kimataifa.

    Tovuti za lugha ya kichina na za lugha za kigeni za CRI Online, zitatoa fursa kwa wasomaji kutoa maswali kwa waziri mkuu wa China na kukusanya maswali hayo. Tunakaribisha maswahili yenu kwa kupitia anuani ya barua pepe kiswahili@cri.com.cn

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako