• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mawasiliano ya kiutamaduni na ushirikiano wa vyombo vya habari ni nguvu kubwa ya kusukuma mbele urafiki kati ya watu wa China na Afrika

  (GMT+08:00) 2016-08-09 16:19:23

  Katika mkutano wa baraza la diplomasia ya umma kati ya China na Afrika, naibu mkuu wa Radio China Kimataifa Bw. Hu Bangsheng ametoa hotuba akisema mawasiliano ya kiutamaduni na ushirikiano wa vyombo vya habari ni nguvu kubwa ya kusukuma mbele urafiki kati ya watu wa China na Afrika, vyombo vya habari vya pande mbili bado ni dhaifu katika jukwaa la vyombo vya habari duniani, vinatakiwa kushirikiana ili kujiendeleza.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako