• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Umuhimu wa vyombo vya habari katika maendeleo ya hisani unatakiwa kuzingatiwa zaidi

  (GMT+08:00) 2016-08-09 16:21:13
  Mwenyekiti wa Mfuko wa hisani wa wachina waishio nchini Botswana Bw. Nan Gengxu anasema, umuhimu wa vyombo vya habari katika maendeleo ya hisani unatakiwa kuzingatiwa zaidi. Watu wanapofanya hisani hawa barani Afrika wanatakiwa kutumia vizuri vyombo vya habari, sio kwa lengo la kujisifu, bali ni kuwasaidia watu wafahamu zaidi hisani na kushiriki kwenye kazi hiyo.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako