• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maoni yako kuhusu mikutano miwili mikubwa ya China ya mwaka 2017

    (GMT+08:00) 2017-02-17 16:16:59

    Mkutano wa 5 wa Bunge la 12 la umma la China na Mkutano wa 5 wa Baraza la 12 la mashauriano ya kisiasa la China inatazamiwa kufanyika mwezi Machi, 2017. Ili kuelewa ufuatiliaji wa wasikilizaji wetu kuhusu mikutano hiyo miwili, tafadhali jibu maswali yafuatayo, na kututumia majibu yako kwa barua pepe. Anuani yetu ya barua pepe ni kiswahili@cri.com.cn

    A. Taarifa ya mjaza fomu

    Umri: (a) chini ya miaka 35 (b) kati ya miaka 35 na 50 (c) zaidi ya miaka 50

    Elimu:

    a. Sekondari ya chini au ya juu

    b. Shahada ya kwanza

    c. Shahada ya pili

    d. Shahada ya tatu

    Barua pepe:

    Akaunti yako ya Facebook au mitandao mingine:

    B. Maswali (unaweza kuchagua sehemu zaidi ya moja katika maswali yote)

    1.Unataka kufahamu zaidi masuala gani kuhusu mikutano miwili ya mwaka huu kupitia CRI?

    a. Mpango wa 13 wa miaka mitano ijayo

    b. Makadirio ya ongezeko la uchumi kwa mwaka huu

    c. Mageuzi ya mfumo katika kutoa mtaji

    d. Kupambana na ufisadi

    e. Kuondoa tatizo la umaskini

    f. Biashara ya nchi za nje

    g. Sekta ya utengenezaji ya China

    h. Masoko ya nyumba na hisa

    i. Kuhifadhi mazingira

    j. Ukosefu wa nafasi za ajira

    k. Huduma za kijamii

    l. Usalama wa chakula na dawa

    m. Maendeleo ya kilimo

    n. Dini na makabila

    o. Uhusiano kati ya China na nchi za nje

    p. Sera kuhusu Hong Kong na Taiwan

    q. Bajeti ya ulinzi wa nchi

    2. Maoni yako kuhusu utawala wa rais Xi Jinping wa China:

    a. Kuimarisha mageuzi katika sekta mbalimbali, na kusukuma mbele kutimiza ndoto ya China

    b. Kuthabitisha mfumo wenye ufanisi wa uongozi unaolingana na hali ya siasa ya China

    c. Kuinua kiwango cha utawala wa kisasa

    d. Kupambana na ufisadi, kuhakikisha viongozi wanakuwa na nidhamu

    e. Kushiriki kwenye utawala duniani kote, kujenga aina mpya ya uhusiano kati ya nchi mbalimbali

    3. Maoni yako kuhusu hali ya sasa ya uchumi wa China, na unafuatilia masuala gani kuhusu uchumi wa China?

    a. Uchumi wa China bado ni moja ya chanzo cha kuendeleza uchumi wa dunia, mustakabali wake ni mzuri

    b. Uchumi wa China unakabiliwa na matatizo mengi, lakini bado uko kwenye eneo salama

    c. Kuona manufaa yaliyoletwa na maendeleo ya uchumi wa China

    d. Makadirio ya ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka 2017

    4. Unafuatilia masuala gani kuhusu sera ya mambo ya nchi za nje ya China?

    a. Kutaka China iimarishe mawasiliano ya utamaduni na ya watu na ushirikiano wa kichumi na kibiashara kati yake na nchi yangu

    b. Changamoto zinazokabili uhusiano kati ya China na Marekani

    c. Jinsi China inavyotatua mvutano kati yake na nchi jirani

    d. Uhusiano kati ya China na nchi za Ulaya na uhusiano kati ya China na Russia

    5. Maoni yako kuhusu China kushiriki katika utawala wa dunia:

    a. Kutarajia mapendekezo yatakayotolewa na China katika kuhimiza kufufua uchumi wa dunia

    b. Kuitaka China ifanye kazi ya uongozi katika kuendeleza biashara huria

    c. China kujitahidi kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa kunaonesha imebeba wajibu wake

    d. Ni lazima China ifanye kazi nyingi zaidi katika mapambano dhidi ya ugaidi

    6. Unafuatilia masuala gani kuhusu mpango wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja "?

    a. Mpango huo utailetea nchi yangu faida au la

    b. Kuhimiza uchumi wa kikanda na wa dunia

    c. Kuhimiza mawasiliano ya kikanda

    d. Upande na sekta zitakazozingatiliwa na mpango huo katika mwaka 2017

    e. Kuunda kundi maalum kuimarisha mawasiliano na kutekeleza miradi

    7. Mwaka 2016, serikali ya China iliendelea kupambana vikali na ufisadi, mapambano hayo yameleta athari gani kwa China?

    a. Kulinda usawa na haki

    b. Kuaminiwa zaidi na raia, kuimarisha uaminifu kwa serikali

    c. Kusukuma mbele mchakato wa utawala wa sheria nchini China

    d. Kuweka msingi mzuri kwa China kuimarisha mageuzi

    8. Maoni yako kuhusu kazi zilizofanywa na serikali ya China katika kuondoa tatizo la umaskini?

    a. China imefanikiwa kupunguza idadi kubwa ya watu masikini

    b. Kazi ya kuwasaidia watu maskni imefanikiwa sana na kuonesha uwezo wa serikali ya China na manufaa ya mfumo wa kisoshalisti

    c. Uchumi wa China kuendelea kuongezeka kwa miaka 30 ni msingi wa mafanikio ya kupunguza idadi ya watu maskini

    d. Nchi yangu inaendelea kupata uzoefu katika kazi ya kuwasaidia watu kuondokana na umaskini

    9. Unaona njia gani itasaidia kupunguza uchafuzi wa hewa, na kuboresha mazingira?

    a. Kutunga sheria za mazingira na kuimarisha utekelezaji wa sheria hizo

    b. Kuendeleza zaidi vyombo vya usafiri wa umma

    c. Kudhibiti uwekezaji kwa miradi inayosababisha uchafuzi wa hewa

    d. Kuimarisha usimamizi na katika viwanda vinavyosababisha uchafuzi wa hewa

    e. Kuongeza uelewa wa jamii kuhusu masuala ya kuhifadhi mazingira kama suala la uchafuzi wa hewa

    10. Unapenda kupata habari za mikutano miwili ya China kupitia vyombo gani vya CRI?

    a. Redio

    b. Tovuti

    c. Akaunti ya CRI kwenye mitandao ya kijamii

    d. Kupitia simu ya mkononi

    e. Chombo kingine cha upande wa tatu

    C.

    1. Una maoni gani kuhusu "Made in China"? Unaweza kueleza kwa ufupi athari iliyoletwa na maendeleo ya uchumi wa China kwa nchi yako na dunia?

    2. Una matarajio gani kuhusu wajibu wa China katika mambo ya kimataifa?

    Tunakushukuru kwa ushirikiano wako!

    Tafadhali andika masuala mengine unayofuatilia kuhusu mikutano miwili ya mwaka 2017 ya China na ushauri wako.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako