• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya kupiga picha ya SGR (2)

    (GMT+08:00) 2017-05-15 15:43:05

    Watu na Reli ya Mombasa hadi Nairobi

    Ujenzi wa reli hiyo umeelezwa kuwa na umuhimu mkubwa katika historia ya Kenya.

    Furaha ya kukamilika kwa ujenzi wa reli

    Mwanafunzi wa Kenya anaruka juu kufurahia kukamilika kwa ujenzi wa reli hiyo.

    Mpiga picha: Joshua Araka

    Ujenzi huo haukuwa rahisi

    Wafanyakazi wamefanya kazi kwa makini na bidii kujenga reli hiyo.

    Mpiga picha: Esther Muratha

    Watu wamemaliza kazi ya ajabu

    Umakini wa wafanyakazi umehakikisha usalama wa reli hiyo

    Mpiga picha: Tonny Omondi

    Mafunzo kazini

    Mfanyakazi akipata mafunzo ya ujenzi akiwa kazini

    Mpiga picha: Billy Odhiambo

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako