• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wimbo wa reli ya SGR

  (GMT+08:00) 2017-05-26 18:38:29

  Nchini Kenya Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kufungua rasmi reli ya kisasa SGR mwishoni mwa mwezi huu.

  Ikikaribia siku ya ufunguzi huo msanii mmjoa nchini humo ametunga wimbo wa kukaribisha maendeleo hayo mapya.

  Maneno yake haya hapa:

  Rafiki yangu, unajua, rafiki

  SGR yapita nyumbani kwangu

  kutoka pwani hadi milima Ngong

  Urefu wake ni mamia ya kilomita

  nyumbani kwangu, kwentu

  oh, nyumbani kwangu, kwetu

  Ohh, SGR

  Ohh, SGR

  Rafiki yangu, hebu, angalia

  madaraja mapya yanavuka mbuga

  ujionea mwujiza huu

  Mandhari yatakufurahisha

  nyumbani kwangu, kwetu

  oh nyumbani kwangu, kwetu

  Ohh, SGR

  Ohh, SGR

  Nisikilize mi, rafiki yangu

  Nisikilize mi,

  hadithi za reli ya SGR ni nyingi

  imeleta urafiki kwetu

  na matumaini ya kila mtu

  Wananchi wetu watakuwa wachangamfu

  Ohh, SGR

  Ohh, SGR

  SGR kama unaruka mawinguni

  magurudumu yake usiulize

  yameleta nguvu nyumbani

  Kwetu nyumbani,

  Kwetu nyumbani

  Kumebarikiwa na mungu

  Kwetu nyumbani

  (mwisho)

   

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako