• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Hadithi yangu na Afrika (8)

  (GMT+08:00) 2018-07-10 14:34:43

  Wataalamu wa kilimo wa China wanatoa mafunzo katika nchi za Afrika ili kuzisaidia kutatua matatizo ya kilimo

  1. Mtaalamu wa mpunga wa China Zhang Yong akiwafundisha wataalamu wa kilimo wa Cote d'Ivoire uzoefu wa usimamizi mimea ya mpunga (Zhang Yong)

  2. Aina mpya ya mpunga imepandwa shambani (Zhang Yong)

  3. Aina mpya ya mpunga imetoa mavuno (Zhang Yong)

  4. Uzalishaji wa mpunga umevunja rekodi nchini Burundi baada ya juhudi ya wataalamu wa China (Wang Xinjun)

  5. Mkulima wa Burundi akilinganisha mimea miwili ya mpunga ya shamba la kielelezo la China na shamba lake (Wang Xinjun)

  6. Wakulima na wataalamu wa Burundi wakitoa pongezi kwa wataalamu wa kilimo wa China (Wang Xinjun)

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako