1.Watu wa TOUAREG wameishi katika jangwa la Sahara kusini magharibi mwa Algeria kwa miaka 3000. ( Picha na Liu Tong)
2.Chai ina maana maalumu kwa wenyeji. ( Picha na Liu Yanan)
3.Watu wa TOUAREG ni hodari katika kucheza ngoma. ( Picha na Song Yanan)
4.Jangwa ni kubwa, lakini mbingu ni kubwa zaidi. ( Picha na Song Yanan)
5.Sisi binadamu ni kama mchanga katika jangwa hilo. ( Picha na Liu Tong)
6.Safari ya jangwa imetuachia kumbukumbu nzuri. ( Picha na Song Yanan)
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |