• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Asili

  (GMT+08:00) 2018-08-22 10:47:55

  1 Mabaki ya kauri yaliyoko mashariki mwa Afrika ni ushahidi wa historia ya mawasiliano kati ya China na Afrika.

  2 Kuna hadithi kuhusu wachina kuishi na kuzaa watoto wakati wa zama za kale katika sehemu za pwani ya Afrika Mashariki

  3 Inasemekana kuwa miaka 600 iliyopita, meli ya China ilikwama katika kisiwa cha Pate, na baadhi ya wachina wakaanza kuishi huko.

  4 Bibi huyu katika kisiwa cha Pate ana jina la kichina Xi

  5 Bibi Zhen Xiaoxia alitafuta jamaa wa baba yake wanaoishi nchini Msumbiji kwa miaka 5.

  6 Bibi Chen Meilan mwenye asili ya kichina anaishi nchini Madagascar.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako