Rais Trump wa Marekani atangaza msamaha kwa Flynn
2020-11-26 09:12:28| CRI

Rais Donald Trump wa Marekani jana ametangaza msamaha kwa Michael Flynn, mshauri wake wa zamani wa usalama ambaye alikiri hatia ya kusema uwongo kwa FBI kuhusu mawasiliano yake na Russia kwenye kipindi cha mpito wa urais wa Trump mwaka 2016. Uamuzi wa rais Trump utamaliza kesi ya Flynn.