Msafishaji hunywa maji ya choo kila siku ili kuonesha usafi wa maji
2020-12-17 12:05:09| cri

Msafishaji mwanamke wa mkoa wa Shandong anakunywa kikombe cha maji kutoka kwenye choo cha kuchuchumasquat toilet kila siku, ili kuonesha usafi wa maji ya chooni anachoyekishughulikia, lakini kitendo hicho kimezusha wasiwasi wa watu juu ya afya yake. Kwenye video moja ilinayosambaa kwenye mtandao wa Internet, msafishaji huyo alikunywa kikombe cha maji chooni mbele ya kikundi cha watu. Wamtandao wengi wamenakosoa kitendo hichochake kuwa sio cha lazima, wakiona ni ajabu kwa kuonesha uhokazi hodari wa kazi kwa njia hiyo. Video hiyo ilitengenezwafanywa hivi karibuni katika kampuni ya bidhaa za malisho mkoani Shandong, na huenda ikapkiwa nia mteja wa kampuni hiyo kwenye mtandaoni. Msafishaji wa video hiyo anayeitwa Luo, ni mfano mzuri wa kuigwa kwa wafanyakazi, nakile alichokifanya si dai la kampuni yake, bali ni uamuzi wake wa hiari. Madhumuni ya vitendo vyake yalikuwa ni kuonesha uangalifu wake juu ya mambo halisi, akitumaini kuwa wafanyakazi wote wa kampuni hiyo wanaweza kufanya kazi nzuri kadiri wawezavyo. Mfanyakazi mmoja amesema, ni hali ya kawaida kwa watu kuwa na maoni tofauti. Kwa maoni ya watu wengi, choo cha mabanda ni chombo kinachochukua taka za binadamu, lakini ukikichukua kama chombo cha maji, kitendo cha msafishaji kinaweza kukubalika zaidi.