Mahakama yaunga mkono kurejesha mahari kutokana na hali tatu
2020-12-30 15:08:35| cri

Hivi karibuni mahakama kuu ilifafanua maelezo kuhusu vifungu vinavyohusu mambo ya ndoa na familia katika Sheria ya kiraia ya Jamhuri ya Watu wa China, ikieleza wazi kuwa, mahakama inaunga mkono watu wanaoomba kurudishiwa mahari iliyolipwa kama matatu kati ya haya yalitopkea:

  1. Utaratibu wa usajili wa ndoa haukufanyika
  2. Utaratibu wa usajili wa ndoa tayari umefanyika, lakini wanandoa bado hawaishi pamoja
  3. Mahari iliyolipwa kabla ya ndoa imeleta matatizo kwa maisha ya mlipaji.

(kifungu cha pili na tatu kinatakiwa kufuata msingi wa talaka ya pande zote mbili. )