China kutoa ripoti ya mwaka 2020 kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Marekani
2021-03-01 18:14:10| CRI

China kutoa ripoti ya mwaka 2020 kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Marekani_fororder_VCG111314169651

Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali ya China itatoa ripoti ya mwaka 2020 kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Marekani.

Ripoti hiyo ina sehemu saba, ikiwemo hali mbaya na maafa yanayotokana na janga la COVID-19, vurugu za kisiasa zinazotokana na ukosefu wa demokrasia nchini Marekani, ubaguzi wa rangi unaozidisha hali mbaya ya watu wachache, na ongezeko kubwa la tofauti kati ya maskini na matajiri linaloondoa usawa ya kijamii, na kudharau kanuni za kimataifa kusababisha hali mbaya ya haki za binadamu.