Rais wa China afanya ziara ya ukaguzi mjini Nanning, mkoani Guangxi
2021-04-27 19:06:46| CRI

Rais wa China afanya ziara ya ukaguzi mjini Nanning, mkoani Guangxi_fororder_2021042715435337910

Rais Xi Jinping wa China ambaye yuko ziarani mjini Nanning, mkoani Guangxi, leo mchana ametazama maonyesho ya utamaduni wa kabila la Wazhuang katika jumba la makumbusho ya kikabila la Guangxi.

Rais Xi pia ametazama shughuli za utamaduni wa kikabila ikiwemo kuimba kwa kupokezana, ili kufahamu mazingira ya kuhimiza maendeleo ya mshikamano wa kikabila na urithi wa uhifadhi wa utamaduni wa kikabila.