Ukitumia misimu na mazingira ipasavyo, utapata mengi bila kujituma sana
2021-09-06 14:19:51| CRI

Ukitumia misimu na mazingira ipasavyo, utapata mengi bila kujituma sana_fororder_Hadithi za Jadi

Msemo huo ulitoka kwenye ensaiklopidia ya kilimo ya kale ya China iitwayo Qimin Yaoshu, ambao unaonesha busara walizo nazo mababu zetu katika kuwashauri watu kuishi kwa mapatano na mazingira. Waswahili pia wanasema "Mti mmoja ni kisiwa cha viumbe tofauti."