Taifa halistawi bila ya maadili, mtu haendelei bila ya maadili
2021-10-08 10:10:55| CRI

Taifa halistawi bila ya maadli, mtu haendelei bila ya maadili_fororder_Hadithi za Jadi

Huu ni msemo wa China unaoonesha kwamba maadili yana maana kubwa kwa taifa na jamii. Bila maadili hakuna maendeleo yanayoweza kupatikana. Msemo huu unalingana na sentensi moja ya Kiswahili inayosema “maadili yetu huathiri tabia zetu”. Hivyo maadili ni muhimu.