Maji yanaweza kuibeba na pia kuipindua meli
2021-10-08 10:09:22| CRI

Maji yanaweza kuibeba na pia kuipindua meli_fororder_Hadithi za Jadi

Huu ni msemo wa kale uliotolewa na Xun Zi, mtu ambaye ana hekima katika dola ya Zhao na ambaye alifuata falsafa ya Confucious. Xun Zi alitumia maji na meli kufananisha uhusiano kati ya mtawala na wananchi. msemo huu unashabihiana na ule wa wasawahili “Manahodha wengi chombo huenda mrama”.