Lengo kuu la elimu ya juu ni kusambaza maadili, kuwafikishia watu maadili na halafu kujenga jamii yenye maadili
2021-10-18 14:26:28| CRI

Lengo kuu la elimu ya juu ni kusambaza maadili, kuwafikishia watu maadili na halafu kujenga jamii yenye maadili_fororder_Hadithi za Jadi

Msemo huu wa kale unamaanisha kuwa kupata elimu ya juu sio kutafuta elimu ya vitabuni tu, bali kutafuta maadili pia. Wachina wanafananisha walimu ni kama mtunza bustani, na wanafunzi vijana ni kama maua kwenye bustani. Msemo huu unakaribiana na ule wa waswahili usemao “elimu ni bahari” ikimaanisha haina mipaka.