Jamii ya kimataifa inaundwa na nchi, na msingi wa nchi ni familia
2021-11-01 11:02:22| CRI

Jamii ya kimataifa inaundwa na nchi, na msingi wa nchi ni familia_fororder_Hadithi za Jadi

Hii ni sentesi inayoashiria kwamba jambo lolote kubwa huanza kuundwa na jambo dogo. Hivyo tabia ya nchi au jamii moja basi msingi wake ni familia.