Fundisha mtoto kwa maadili, la sivyo ni hasara kwake
2021-11-08 10:51:45| CRI

Fundisha mtoto kwa maadili, la sivyo ni hasara kwake_fororder_Hadithi za Jadi

Huu ni msemo wenye maana ya kuwa kama unampenda mtoto wako, basi umwelekeze kuwa na maadili, na usipomfundisha maadili, basi humpendi kwa moyo, bali unamletea hasara kubwa.” Ni msemo unaofanana na wa Kiswahili “samaki mkunje angali mbichi” au “mchelea mwana kulia mwisho hulia yeye”.