Kutenda haki kunatawala, na vitendo vya kunufaisha watu hufaulu
2021-11-29 11:36:44| CRI

Kutenda haki kunatawala, na vitendo vya kunufaisha watu hufaulu_fororder_Hadithi za Jadi

Huu ni mstari wa shairi uliotungwa na mtu mashuhuri wa dola ya Qi Yanzi katika zama za kale. Mstari huu unakumbusha watu kutenda haki na vile vile kutokuwa wabinafsi kwa kuwanufaisha watu wengine.