Mtu mbinafsi hujitenga, anayejizuia hupendwa na wengine
2021-12-14 10:30:43| CRI

Mtu mbinafsi hujitenga, anayejizuia hupendwa na wengine_fororder_Hadithi za Jadi

Msemo huo una maana kuwa mtu anayejihudumia yeye tu bila kujali wengine basi mwisho hukimbiwa na wengine; lakini anayejizuia maslahi yake binafsi na kumhudumia mwengine, watu wanampenda. Kwenye Kiswahili kuna sentensi moja maarufu isemayo “ukisaidia watu ipo siku nao watakusaidia”.