Kosa lionekanalo kileleni mwa mti, chanzo chake ni mizizi
2021-12-17 10:01:21| CRI

Kosa lionekanalo kileleni mwa mti, chanzo chake ni mizizi_fororder_Hadithi za Jadi

Msemo huo unatumiwa kuwaambia watu kuwa ukitaka kurekebisha kosa lionekanalo kwenye kitu, kwanza angalia chanzo chake. Waswahili pia wanasema “kila tatizo lina chanzo chake”, hivyo si busara kukurupuka kusahihisha juu tu.