Maziwa
中国国际广播电台

     Mkoani Tibet kuna maziwa zaidi ya 1500 yenye eneo la kilomita za mraba 240 ambayo ni theluthi moja ya eneo lote la maziwa kote nchini China. Maziwa ya mkoani Tibet sio tu yana maeneo makubwa bali pia yana vina virefu.

Maziwa kwa lugha ya Kitibet ni “namucuo”, maana yake ni maziwa mbinguni. Kwa kweli maziwa hayo chini ya mbingu ya buluu yanaonekana kama vioo hapa na pale vikiwa pamoja na mbuga za majani na yanaleta mandhari nzuri sana katika paa la dunia.