Hali ya Tiba za Makabila Madogo Madogo
中国国际广播电台

Tiba za jadi ya kichina ni pamoja na tiba za kabila la wahan na za tiba za makabila madogo mbalimbali.

Kutokana na tofauti za historia na utamaduni, hali ya maendeleo ya tiba za makabila madogo madogo ni tofauti pia. Tiba za baadhi ya makabila madogo licha ya kuchukua sehemu fulani ya tiba ya kabila la wahan, imechukua baadhi ya sehemu ya tiba za nchi za nje. Kwa mfano tiba za kabila la watibet licha ya kuchukua sehemu fulani ya tiba za kabila la wahan, inachukua sehemu fulani ya tiba za jadi za Ingia ya kale, wakati tiba za kabila la wamongolia zinachukua sehemu fulani ya tiba za Russia.