中国国际广播电台
Kutoka
na maandishi ya kale, Fu Xi
alikuwa mmoja wa wafalme wa
mwanzo kabisa nchini China,
aliishi katika miaka 5000
iliyopita.
Fu Xi alikuwa mnajimu, alivumbua
namna ya kukumbuka mambo badala
ya kwa kupiga fundo la kamba.
Kamba zilikuwa ziada, basi
aliwafundisha watu kufuma
wavu kwa ajili ya kuvua samaki
na kutega wanyama. Shen Nong
aliwafundisha namna ya kupata
moto kwa kupekecha, na kula
chakula kwa kuchoma, hivyo
watu walikuwa wameagana kabisa
na maisha ya kiasili ya kula
nyama mbichi.
|