Michoro kwenye nyuso za wachezaji wa opera ya Beijing

中国国际广播电台

      Michoro kwenye nyuso za wachezaji wa opera ya Beijing inaonesha tabia, maadili na hatima yake katika michezo. Kwa kawaida, uso uliopakwa rangi nyekundu huonesha mtu mwenyewe ni mtiifu na mjasiri, rangi nyeusi kwenye uso inaonesha mtu wa katikati, ikimaanisha mwenye ujasiri na akili. Rangi ya buluu ikimaanisha pia mtu wa katikati mwenye ujasiri, rangi nyeupe na ya manjano ikimaanisha watu wenye hila na rangi ya dhahabu na ya fedha inamaanisha watu wa ajabu mashetani au mazimwi.