| 中国国际广播电台  Aina za nafasi za wachezaji katika opera ya Beijing ni kama zifuatazo:
      Sheng: inagawika katika aina ya kuonesha vijana wa makamo wa kiume na aina ya kuonesha wazee wa kiume.  Dan: Inagawanyika katika aina na kuonesha wanawake wa makamo wa kike na wasichana, na pia kuna aina ya kuonesha vijakazi.  Jing: Ni nafasi za wachezaji wa kuonesha wanaume wenye ujasiri na makeke.  Muo: Ni nafasi ya wachezaji kuonesha wazee waliozeeka na akili.  Chou: Ni nafasi ya wachezaji kuonesha makabwera wenye akili na ni wacheshi.
 
 |