Opera ya Huangmei
中国国际广播电台

     Katika karne ya 18, opera ya Huangmei ilitokea katika mikoa ya Anhui, Hubei na Jiangxi, na kufikia karne ya 19 opera hiyo imekuwa aina moja muhimu kati ya opera za Kichina.

Opera ya Huangmei huoneshwa kwa kuimba na kucheza, na kueleza matukio katika maisha ya raia.

Michezo maarufu inayooneshwa kwa opera ya Huangmei ni “kukutana njiani”, “wanandoa wafurahia taa” n.k.