Liu Yunshan

Mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya siasa ya Kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, Katibu wa Ofisi ya Ukatibu ya Kamati kuu ya chama, na Mkuu wa Idara ya uenezi ya Kamati kuu ya chama.
Alizaliwa mwezi Julai mwaka 1947 huko Xinzhou mkoani Shanxi, China. Alihitimu masomo katika Chuo cha chama cha kamati kuu ya chama.
Kuanzia mwaka 1969 hadi mwaka 1993 alikuwa ofisa mwandamizi wa mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani. Kati ya mwaka 1993 na 2012 alikuwa Naibu mkuu na Mkuu wa Idara ya uenzi ya Kamati kuu ya chama. Kuanzia mwaka 2002 alichaguliwa kuwa mjumbe wa Ofisi ya siasa ya Kamati kuu ya chama.