Sanamu za Askari na Farasi katika Kaburi la Malme Qinshihuang Zilitengenezwaje
Radio China Kimataifa

Mwaka 1989, wataalamu wa mambo ya kale waligundua matanuri 21 kwenye sehemu ya Mji wa Xi’an, matanuri hayo yalikuwa na miaka 2100. makaburi hayo, kwa makadirio, yanaweza kuchoma sanamu za udongo 7350 hadi 8400.

Wataamu wamegundua kwamba sanamu hizo zilitengenezwa kwa vyombo, ila vichwa ambavyo kabla ya kuchomwa vilikukwa vimechongwa tayari na kisha kupakwa rangi. Matengenezo ya sanamu za askari na farasi kwa ajili ya kaburi la mfalme Qinshihuang walitokea wasanii wengi, na sasa walioweza kuthibitishwa wako 85.