Vivuli vya Picha Zilizotengenezwa kwa Ngozi (2)
中国国际广播电台
 

      Mchezo wa vivuli vya picha za ngozi ni mwanzo wa aina nyingi za michezo kienyeji katika sehemu ya kaskazini magharibi ya China.

Picha zilizochongwa kwa ngozi huwa ni rahisi lakini hazipotezi sura muhimu za wahusika, wausika tofauti katika hadithi, sura na mavazi pia ni tofauti kwa ajili ya kuonesha hulka za wahusika tofauti. (Picha: Kusafiri)

 

Picha ya “Kusafiri” (ya kwanza kushoto) mhusika anajitokeza zaidi kwa nafasi yake, rangi yake na sura yake jinsi anavyokaa.