Vivuli vya Picha Zilizotengenezwa kwa Ngozi (3)
中国国际广播电台
 

      Picha za ngozi zilizochongwa mkoani Shanxi hupakwa rangi wazi nyekundu, kijani, na manjano, na picha hizo hazibadiliki wala kuozwa.

  Watu wanaoashiria baraka katika enzi za kale za China hutokea katika michezo ya vivuli vya picha zilizotengenezwa kwa ngozi mkoani Shanxi.

 Picha ya “Msichana Anayepodoa” inaonesha msichana akijipamba mbele ya kioo. Wakati wa kuonesha picha hiyo ya msichana pia kuna picha za meza, kiti, sanduku na kabati ambazo zote ni za mtindo wa kale.