Vitu vya Udongo vya Kuchezea Watoto (5)
中国国际广播电台
 

     Jogoo la udongo lililofinyangwa wilayani Xincheng linajulikana sana.

Majogoo ya udongo wamegawanyika ukubwa wa aina tatu, yaani kubwa, kiasi na ndogo. Kubwa kabisa ina kimo cha senti mita 25, na ndogo ina kimo sentimita 6.

  Jogoo la udongo hupakwa rangi nyekundu kwenye kilemba, rangi nyeusi kwenye shingo, na mkia ulioinuka unaonesha ujeuri wake.